Kiswahili (Tanzania) edition

by Becky Kleanthous
Ndugu Mwangaza wa Jua na Ngurumo wanaota kuwa na ua mzuri kama bustani ya kinu cha upepo cha kwao. Baada ya kupata mbegu za ‘kichawi’ kutoka kwa babu na bibi yao na kupitia changamoto ya kusubiri kwa hamu, wanajifunza kuwa asili huenda kwa wakati wake. Mwaka mzima wa subira unawaletea bustani iliyojaa waridi zenye harufu tamu na ndege wenye rangi angavu.
Subscribe through your link, you both get 5 credits
Text in all available languages
74 languages and 98 regional accents available
Audio Story plus Read Aloud
Read Aloud