toleo la Kiswahili (Tanzania)

na Liz Bickerstaff
Pete si kondoo wa kawaida. Wakati kondoo wengine kundini wanafurahia kula nyasi na kufanana, Pete anataka kujiviringisha kama nguruwe, kudonoa kama kuku, na kuwa na mtindo wa nywele wa kipekee kabisa! Lakini kundi linapotanga na kuingia hatarini, njia ya kipekee ya Pete ya kufikiri huenda ikawa ndiyo kitu pekee kinachoweza kuokoa siku.
Subscribe through your link, you both get 5 credits
Text in all available languages
72 languages and 96 regional accents available
Audio Story plus Read Aloud
Read Aloud